1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idadi ya vifo na majeruhi yaongezeka Ukanda wa Gaza

28 Machi 2024

Wizara ya afya ya Gaza inayoongozwa na Hamas imesema idadi ya vifo imeongezeka na kufikia 32,490 huku majeruhi ikiongezeka na kufikia watu 74,899 tangu kuanza kwa mzozo mnamo Oktoba 07, mwaka uliopita.

https://p.dw.com/p/4eDfq