You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Babu Abdalla
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Babu Abdalla
Taarifa zilizoonesha na Babu Abdalla
Taathira za ugomvi wa Ethiopia na Somalia Pembe ya Afrika
Serikali ya Mogadishu inachukulia Somaliland kama sehemu muhimu ya Somalia ingawa eneo hilo lina mamlaka yake ya ndani.
Uhusiano kati ya Rwanda na Burundi unayumba zaidi
Baadhi ya wachambuzi wanahofia kuwa mzozo kati ya mataifa hayo mawili utaendelea kutanuka.
SADC: Uchaguzi Zimbabwe haujakidhi mahitaji ya katiba
SADC imesema upigaji kura umefanyika kwa amani japo kulikuwepo kwa visa kadhaa kama vile ucheleweshwaji wa kupiga kura.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Babu Abdalla
Taarifa na Babu Abdalla
Navalnaya apokea tuzo ya DW ya uhuru wa kujieleza 2024
Navalnaya apokea tuzo ya DW ya uhuru wa kujieleza 2024
Yulia Navalny amewahimiza wanasiasa wa mataifa ya Magharibi kusema ukweli hata katika "nyakati ngumu.”
Mamilioni ya Wanigeria walala gizani kufuata mgomo wa taifa
Mamilioni ya Wanigeria walala gizani kufuata mgomo wa taifa
Wafanyikazi wamezima mitambo sita ya kusambaza umeme na kulitumbukiza taifa kwenye kiza usiku wa kuamkia leo.
Maelfu wahamishwa kusini mwa Ujerumani kufuatia mafuriko
Maelfu wahamishwa kusini mwa Ujerumani kufuatia mafuriko
Maelfu ya watu katika majimbo ya Bavaria na Baden Wuerttemberg wamelazimika kuyaacha makaazi yao kufuatia mvua kubwa.
Sheinbaum awa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa rais wa Mexico
Sheinbaum awa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa rais wa Mexico
Bi. Sheinbaum sasa atachukua nafasi ya rais anayemaliza muda wake Andres Manuel Lopez Obrador, mnamo Oktoba mosi.
Jeshi la Israel laishambulia miji ya Rafah na Nuseirat
Jeshi la Israel laishambulia miji ya Rafah na Nuseirat
Mashambulizi ya Israel yamesababisha vifo vya watu 11 usiku wa kuamkia leo katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat.
Hofu ya kutanuka kwa vita vya Urusi na Ukraine yaongezeka
Hofu ya kutanuka kwa vita vya Urusi na Ukraine yaongezeka
Hivi karibuni, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonyesha utayari wa kutuma wanajeshi wa nchi yake nchini Ukraine iwapo serikali ya Volodymr Zelenskiy itaomba msaada huo. Kauli yake imezua wasiwasi juu ya kutanuka kwa mzozo kati ya Urusi na Ukraine. Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa na mwandishi mstaafu wa DW Kiswahili Abdul Mtullya kuhusu wasiwasi huo.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo